Michezo

Orodha ya Waamuzi Simba Sc vs Yanga Sc leo 03/05/2026 Ligi Kuu ya NBC

Filed in Michezo by on May 3, 2026 0 Comments
Orodha ya Waamuzi Simba Sc vs Yanga Sc leo 03/05/2026 Ligi Kuu ya NBC

Hii hapa Orodha ya maafisa uamuzi kwenye mchezo wa Derby ya Kariakooo mchezo wa Simba Sc vs Yanga Sc leo 03/05/2026. Mchezo huu utafanyika Mej. Gen. Isamuhyo Dar Es Salaam kuanzia majira ya saa 18:00 Maafisa wa mchezo Kariakoo Derby(Simba Sc vs Yanga Sc)    

Continue Reading »

Mechi ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026 Saa Ngapi?

Filed in Michezo by on May 3, 2026 0 Comments
Mechi ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026 Saa Ngapi?

Leo taraehe 03 May, 2026 ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaenela kwa kuzikutanisha timu mbili za watani wa jadi kati ya mwenyeji wa Mchezo Simba Sc dhidi ya Bingwa mtetezi Yanga Sc mechi inayo julikana kama Kariakoo Derby. Mchezo huu unakuja mara baada ya mchezo wa kusisimua wa watani hawa wa Jadi uliofanyika tarehe […]

Continue Reading »

Simba Sc Bingwa Mpya Muungano CUP 2026

Filed in Michezo by on April 29, 2026 0 Comments
Simba Sc Bingwa Mpya Muungano CUP 2026

Baada ya mapambano ya dk 90 kukamilika bila goli kati ya Simba Sc vs Yanga Sc hatiamae kwenye dk 30 za nyiongeza zinamptia Simba penalt amabayo inapelekea kufunga goli kupitia Selemami Mwalimu FULL TIME SIMBA 1 – 0 YANGA Penalt DK -120 -Seleman Mwalimu

Continue Reading »

MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 29/04/2026

Filed in Michezo by on April 29, 2026 0 Comments
MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 29/04/2026

Leo 29/04/2025 mashabiki wa soka nchini Tanzania wanaenda kushuhudia mchuano mkali wa Derby ya Kariakoo kwenye hatua ya fainali ya kombe la Muungano. Mchezo amabao unapigwa saa 02:15 usiku kwenye viunga vya New Amaan Complex huko visiwani Zanzibar. Kinachosubiliwa zaidi na mashabiki ni Matokeo ya Simba vs Yanga mara baada ya mchezo kukamirika. Bila hiyana […]

Continue Reading »

Mechi ya Simba vs Yanga Sc Leo 29/04/2026 Saa Ngapi

Filed in Michezo by on April 28, 2026 0 Comments
Mechi ya Simba vs Yanga Sc Leo 29/04/2026 Saa Ngapi

Leo 29/04/2026 mashabiki wa soka nchini Tanzania wanaenda ushuhudia mchuano mkubwa wa Derby ya Kariakoo kwenye fainali za kombe la Muungano. Mchezo huu utakuwa wa kihistoria kwani inawakutanisha wababe wa soka la Tanzania kwenye kombe hilo huku pia mbio za ubingwa wa ligi kuu ya NBC zikiwa zinaendelea. Taarifa za Mchezo Timu: Simba Sc vs […]

Continue Reading »

Simba Sc vs Yanga Sc Fainali Muungano Cup 29 April 2026

Filed in Michezo by on April 26, 2026 0 Comments
Simba Sc vs Yanga Sc Fainali Muungano Cup 29 April 2026

Baada ya Nusu Fainali ya tarehe 26/04/2026 kati ya Simba na Mlandege kumalizika na Simba Kuibuka na ushindi wa goli 3 imepeleakea Simba kuungana na Yanga kwenye Fainali za michuano ya Muungano Cup Yanga Sc ilifuzu kuingia fainali baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa moja dhidi ya Azam Fc kwenye mchezo wa […]

Continue Reading »

Matokeo Azam VS Yanga Leo 25/04/2026 Nusu Fainali Muungano Cup

Filed in Michezo by on April 25, 2026 0 Comments
Matokeo Azam VS Yanga Leo 25/04/2026 Nusu Fainali Muungano Cup

Visiwa vya Zanzibar,  vinashuhudia mvuto mkubwa wa soka la Tanzania leo Jumamosi, April 25, 2026, ambapo macho na masikio ya mashabiki yanaelekezwa moja kwa moja katika Uwanja wa New Amaan Complex, Nusu fainali ya Kombe la Muungano 2026 ikiwakutanisha mahasimu wakubwa wa soka la Tanzania Bara, Azam FC na Young Africans SC (Yanga). Ni mechi […]

Continue Reading »

Azam vs Yanga Leo 25/04/2026 Saa Ngapi

Filed in Michezo by on April 25, 2026 0 Comments
Azam vs Yanga Leo 25/04/2026 Saa Ngapi

Leo, tarehe 25/04/2026, mashabiki wa soka wanatarajia kushuhudia mechi ya kihistoria katika nusu fainali ya kombe la Muungano CUP. Yanga Sc klabu ambaye ndio bingwa mtete wa kombe la Muungano atakua kibaruani dhidi ya Azam Fc kwenye uwanja wa New Amaan Complex huko Zanzibar. Mchezo huu wa dabi ya Dar es Salaam umekuwa ukisubiriwa kwa […]

Continue Reading »

Kikosi cha Yanga vs Azam Leo 25/04/2026 Muungano CUP

Filed in Michezo by on April 25, 2026 0 Comments
Kikosi cha Yanga vs Azam Leo 25/04/2026 Muungano CUP

Kikosi cha Yanga vs Azam Leo 25/04/2026 Muungano CUP | Kikosi cha Yanga Leo dhidi ya Azam Fc ligi kuu Tanzania Leo mashabi wa Soka Tanzania watenda kushuhudia mpambano wa aina yake kutoka kwenye Dar Derby, ikizikutanisha timu mbili mashuruli zaidi Yanga Sc vs Azamb Fc kwenye nusu fainali ya michuano ya Muungano Cup Mchezo […]

Continue Reading »

Mshahara wa Kibu Denis Al Nasser Libya

Filed in Michezo by on April 21, 2026 0 Comments
Mshahara wa Kibu Denis Al Nasser Libya

Linapokuja suala la kifedha la usafirishaji wa wachezaji wa Afrika Kaskazini, machache ya mada huibua udadisi kama Mshahara wa Kibu Denis Al Nasser Libya. Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Kibu Denis, alihamia kwa klabu maarufu ya Ligi Kuu ya Libya, Al Nasser (yenye makao yake Benghazi), wakati wa dirisha la uhamisho la mwaka 2025. Kwa mashabiki […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!