Mechi ya Simba vs Yanga Sc Leo 29/04/2026 Saa Ngapi

Mechi ya Simba vs Yanga Sc Leo 29/04/2026 Saa Ngapi
Leo 29/04/2026 mashabiki wa soka nchini Tanzania wanaenda ushuhudia mchuano mkubwa wa Derby ya Kariakoo kwenye fainali za kombe la Muungano.
Mchezo huu utakuwa wa kihistoria kwani inawakutanisha wababe wa soka la Tanzania kwenye kombe hilo huku pia mbio za ubingwa wa ligi kuu ya NBC zikiwa zinaendelea.
Taarifa za Mchezo
Timu: Simba Sc vs Yanga Sc
Aina ya Mchezo: Derby ya Kariakoo
Kombe: Muungano Cup
Muda: 02:15 Usiku
Uwanja: New Amaan Complex, Zanzibar
