Michezo

Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2025/2026

Filed in Michezo by on June 10, 2026 0 Comments
Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2025/2026

Hadi kufikia sasa kipa wa klabu ya wana jangwani Yanga Sc Djigui Diarra ndio kinala wa clean Sheets kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara (NBC Premier League) kwa msimu wa 2025/2026 Djigui Diarra hadi sasa ameweza kujikusanyia clean Sheets 10 huku akifuatiwa na Aish Manula mliziwa Azam Fc na Jean Noel wakiwa na Clean […]

Continue Reading »

Msimamo Wa Ligi Kuu NBC Tanzania 2025/2026

Filed in Michezo by on June 10, 2026 0 Comments
Msimamo Wa Ligi Kuu NBC Tanzania 2025/2026

Ikiwa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/2026 ukiendelea kutimua vumbi sisi Zetuforum tutaendelea kukujuza taarifa muhimu hasa ile ya msimamo wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara. Kwenye ukurasa huu utaweza kutizama kile kinachondelea kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC kwa msimu wa mwaka 2025/2026. Msimamo Wa Ligi Kuu NBC […]

Continue Reading »

Ratiba ya Nusu Fainali CRDB Federation Cup 2026

Filed in Michezo by on June 9, 2026 0 Comments
Ratiba ya Nusu Fainali CRDB Federation Cup 2026

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza rasmi ratiba ya nusu fainali ya CRDB Federation Cup 2026, hatua inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini. Timu nne zenye ushindani mkubwa, Simba SC, Yanga SC, Azam FC na Coastal Union, zitashuka dimbani kupigania nafasi ya kucheza fainali ya mashindano hayo makubwa ya ndani. Ratiba hii […]

Continue Reading »

Ratiba ya Kombe la Dunia 2026: Mechi, Tarehe, Makundi na Viwanja Vitakavyotumika

Filed in Michezo by on June 9, 2026 0 Comments
Ratiba ya Kombe la Dunia 2026: Mechi, Tarehe, Makundi na Viwanja Vitakavyotumika

Kombe la Dunia 2026 linatarajiwa kuwa moja ya mashindano makubwa zaidi katika historia ya soka duniani. Kwa mara ya kwanza, mashindano haya yatashirikisha timu 48 badala ya 32 zilizokuwa zikishiriki hapo awali. Mabadiliko haya yameongeza idadi ya mechi hadi kufikia 104, jambo linalofanya michuano hii kuwa ya kipekee na yenye ushindani mkubwa zaidi. Michuano hiyo […]

Continue Reading »

Orodha ya Timu Zilizopanda Daraja Ligi Kuu ya NBC 2026/2027

Filed in Michezo by on June 9, 2026 0 Comments
Orodha ya Timu Zilizopanda Daraja Ligi Kuu ya NBC 2026/2027

Geita Gold FC na Kagera Sugar FC Zathibitisha Kupanda Daraja,Mashabiki wa soka nchini Tanzania wamepokea habari njema baada ya Geita Gold FC na Kagera Sugar FC kujihakikishia rasmi kupanda daraja na kushiriki Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027. Timu hizo zimefanikiwa kupata tiketi za moja kwa moja baada ya kujikusanyia pointi ambazo haziwezi kufikiwa […]

Continue Reading »

Ratiba ya Mechi za Yanga SC June 2026 | Tarehe Zote na Uchambuzi

Filed in Michezo by on June 9, 2026 0 Comments
Ratiba ya Mechi za Yanga SC June 2026 | Tarehe Zote na Uchambuzi

Mashabiki wa Yanga SC wana kila sababu ya kuwa na hamasa kubwa mwezi Juni 2026 baada ya kutangazwa kwa ratiba rasmi ya mechi za timu hiyo. Mabingwa hao wa soka Tanzania watakuwa na mwezi wenye ushindani mkubwa wakicheza mechi sita muhimu katika NBC Premier League na Federation Cup. Kwa wale wanaotafuta ratiba ya mechi za […]

Continue Reading »

Barcelona Mabingwa wa Laliga 2025/2026

Filed in Michezo by on May 10, 2026 0 Comments
Barcelona Mabingwa wa Laliga 2025/2026

Hatimae klabu ya Fc Barcelona wajitangaza kua mabingwa wa ligi kuu ya Laliga mbele ya mahasimu wao Real Madrid kwenye mchezo wa El Classico baada ya ushindi wa goli 2 kwa 0. Ushidi wa Barcelona dhidi ya Real Madrid unaifanya Bercelona kufikia pointi 91 dhidi ya Real Madrid ambao wapo kwenye nafasi ya pili mwa […]

Continue Reading »

MATOKEO Real Madrid vs Barcelona Leo 10/05/2026

Filed in Michezo by on May 10, 2026 0 Comments
MATOKEO Real Madrid vs Barcelona Leo 10/05/2026

Leo dunia inaenda kuhuhudia mechi ya Derby ya Spain kati ya Fc Barcelona dhidi ya Real Madrid. Ikumbukwe kua kwenye msimamo wa ligi kuu ya Laliga Barcelona ndio inayo ongoza ligi ikiwa na jumla ya point 88 ikifuatiwa na Real Madrid yenye jumla ya point 77. Zetuforum tunakulete Matokeo ya FC Barcelon dhidi ya Real […]

Continue Reading »

KIKOSI cha Real Madrid vs Barcelona Leo 10/05/2026

Filed in Michezo by on May 10, 2026 0 Comments
KIKOSI cha Real Madrid vs Barcelona Leo 10/05/2026

Leo dunia inaenda kuhuhudia mechi ya Derby ya Spain kati ya Fc Barcelona dhidi ya Real Madrid. Ikumbukwe kua kwenye msimamo wa ligi kuu ya Laliga Barcelona ndio inayo ongoza ligi ikiwa na jumla ya point 88 ikifuatiwa na Real Madrid yenye jumla ya point 77. Zetuforum tunakulete kikosi cha Real Madrid kitakachoenda kucheza dhidi […]

Continue Reading »

KIKOSI cha Barcelona vs Real Madrid Leo 10/05/2026

Filed in Michezo by on May 10, 2026 0 Comments
KIKOSI cha Barcelona vs Real Madrid Leo 10/05/2026

Leo dunia inaenda kuhuhudia mechi ya Derby ya Spain kati ya Fc Barcelona dhidi ya Real Madrid. Ikumbukwe kua kwenye msimamo wa ligi kuu ya Laliga Barcelona ndio inayo ongoza ligi ikiwa na jumla ya point 88 ikifuatiwa na Real Madrid yenye jumla ya point 77. Zetuforum tunakulete kikosi cha Barc elon kitakachoenda kucheza dhidi […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!