TANGAZO LA Kuahirishwa Kwa Usaili Uliopangwa Kufanyika 10/06/2026

TANGAZO LA Kuahirishwa Kwa Usaili Uliopangwa Kufanyika 10/06/2026
Wasailiwa mlioitwa kwenye usaili kwa kada ya TUTOR II – INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY ya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) mnaarifiwa kuwa usaili uliopangwa kufanyika tarehe 10 Juni,2026 umeahirishwa mpaka hapo itakapotangazwa tena
Tags: TANGAZO LA Kuahirishwa Kwa Usaili Uliopangwa Kufanyika 10/06/2026
