Tag: TANGAZO LA Kuahirishwa Kwa Usaili Uliopangwa Kufanyika 10/06/2026

TANGAZO LA Kuahirishwa Kwa Usaili Uliopangwa Kufanyika 10/06/2026

Filed in Usaili by on June 8, 2026 0 Comments
TANGAZO LA Kuahirishwa Kwa Usaili Uliopangwa Kufanyika 10/06/2026

Wasailiwa mlioitwa kwenye usaili kwa kada ya TUTOR II – INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY ya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) mnaarifiwa kuwa usaili uliopangwa kufanyika tarehe 10 Juni,2026 umeahirishwa mpaka hapo itakapotangazwa tena KUAHIRISHWA KWA USAILI-FETA

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!