MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 28/04/2026

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 28/04/2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 17-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 28/04/2026
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 28-04-2026
