WhatsApp Group Join Now

Kikosi cha Yanga vs Azam Leo 25/04/2026 Muungano CUP

Filed in Michezo by on April 25, 2026 0 Comments
Kikosi cha Yanga vs Azam

Kikosi cha Yanga vs Azam

Kikosi cha Yanga vs Azam Leo 25/04/2026 Muungano CUP | Kikosi cha Yanga Leo dhidi ya Azam Fc ligi kuu Tanzania

Leo mashabi wa Soka Tanzania watenda kushuhudia mpambano wa aina yake kutoka kwenye Dar Derby, ikizikutanisha timu mbili mashuruli zaidi Yanga Sc vs Azamb Fc kwenye nusu fainali ya michuano ya Muungano Cup Mchezo huu unaobeba hisia za mashabiki wengi  na utakaofanyika katika dimba la New Amaan Complex. Mchezo huu unatarajiwa kuwa wa aina yake, na mashabiki wa soka wanatarajia kuona mabadiliko makubwa kwenye mbio za ubingwa huku timu hizi mbili zikiendelea kutoa burudani ya soka.

Dabi ya Dar es Salaam, mechi kati ya Azam FC na Yanga SC, ni moja ya mechi zinazoleta hamu kubwa kwa wapenzi wa soka nchini Tanzania. Timu hizi mbili zimekuwa na historia ya ushindani mkali ndani na nje ya uwanja, na kila mechi kati yao huwa na mvuto wa kipekee.

Kikosi cha Yanga Sc vs Azam Fc Leo 25/04/2026

Kikosi rasmi cha Yanga kitakacho anza leo dhidi ya Azam Fc kinatarajiwa kutangazwa majira ya saa 02:15 usiku. Hapa tutakuletea orodha kamili ya wachezaji wote watakaounda kikosi hicho mara tu kitakapotangazwa na kocha mkuu wa Yanga Miloud Hamdi.

Kikosi cha  Azam Fc vs Yanga Sc Leo 25/04/2026

-Kikosi kitawekwa hapa mara baada ya kutangazwa

Djigui Diarra na Rekodi Zake Dhidi ya Azam FC

Djigui Diarra, ambaye ni kipa wa kiwango cha juu na aliyejizolea sifa kubwa kama mlinda mlango wa timu ya taifa ya Mali, ameonesha uwezo wake wa kipekee tangu alipojiunga na Yanga SC.

Hata hivyo, Diarra amekuwa akiteseka na timu ya Azam FC, ambao wamekuwa na historia ya kumfungia mabao mengi. Katika misimu minne aliyocheza na Yanga, Diarra amefungwa mabao 11 na Azam FC pekee kwenye ligi kuu ya NBC – idadi kubwa kwa mchezaji wa kiwango chake. Hii ina maana kwamba, licha ya umahiri wake, Azam FC wamekuwa na ufanisi mkubwa dhidi yake.

Pamoja na rekodi hiyo, Diarra anakaribia kufikia kiwango cha kipa maarufu wa zamani wa Tanzania, Juma Kaseja, ambaye alifungwa mabao 23 na Azam FC katika misimu tofauti akiwa na timu mbalimbali. Mashabiki wa Yanga SC wanatumai kuwa kipa wao atafanya vyema kwenye mechi hii ili kuzuia wimbi la mabao kutoka kwa washambuliaji wa Azam FC.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!