__________________________

Msimamo Ligi Kuu NBC 2025/2026

__________________________

Matokeo Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026

__________________________

Magroup ya WhatsApp (Jiunge)

__________________________

WhatsApp Group Join Now

Azam vs Yanga Leo 25/04/2026 Saa Ngapi

Filed in Michezo by on April 25, 2026 0 Comments

Leo, tarehe 25/04/2026, mashabiki wa soka wanatarajia kushuhudia mechi ya kihistoria katika nusu fainali ya kombe la Muungano CUP. Yanga Sc klabu ambaye ndio bingwa mtete wa kombe la Muungano atakua kibaruani dhidi ya Azam Fc kwenye uwanja wa New Amaan Complex huko Zanzibar.

Mchezo huu wa dabi ya Dar es Salaam umekuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa kutokana na historia ndefu ya ushindani kati ya timu hizi mbili, na bila shaka, mashabiki wa pande zote watajitokeza kwa wingi uwanjani.

Dabi ya Dar es Salaam kati ya Azam FC na Yanga SC ni miongoni mwa mechi zinazovutia wengi hapa nchini. Ni mchezo unaozungumziwa sana kutokana na ubora wa timu hizi mbili na ushindani wao mkubwa ndani na nje ya uwanja.

Taarifa za Mchezo Azam vs Yanga Leo 25/04/2026

  • Mchezo: Yanga SC vs Azam Fc
  • Mashindano: Muungano Cup (Nusu Fainali)
  • Tarehe: 25 April 2026
  • Saa: 02:15 Usiku
  • Uwanja: New Amaan Complex, Zanzibar

Soma Pia

Azam vs Yanga Leo 25042026 Saa Ngapi

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!