__________________________

Msimamo Ligi Kuu NBC 2025/2026

__________________________

Matokeo Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026

__________________________

Magroup ya WhatsApp (Jiunge)

__________________________

WhatsApp Group Join Now

Matokeo Azam VS Yanga Leo 25/04/2026 Nusu Fainali Muungano Cup

Filed in Michezo by on April 25, 2026 0 Comments
Matokeo Azam VS Yanga Leo 25/04/2026

Matokeo Azam VS Yanga Leo 25/04/2026

Visiwa vya Zanzibar,  vinashuhudia mvuto mkubwa wa soka la Tanzania leo Jumamosi, April 25, 2026, ambapo macho na masikio ya mashabiki yanaelekezwa moja kwa moja katika Uwanja wa New Amaan Complex, Nusu fainali ya Kombe la Muungano 2026 ikiwakutanisha mahasimu wakubwa wa soka la Tanzania Bara, Azam FC na Young Africans SC (Yanga).

Ni mechi yenye uzito mkubwa kihistoria, kiufundi na kimbinu, huku matokeo ya Azam vs Yanga leo 25/04/2026 Nusu fainali Muungano Cup yakisubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa soka ndani na nje ya nchi.

Nusu Fainali hii inaingia kwenye vitabu vya historia kama mara ya kwanza kwa Azam na Yanga kukutana katika hatua ya nusu fainali ya michuano hii tangu Kombe la Muungano lilipoanza kushirikisha rasmi timu za Bara mwaka 2007. Licha ya kila timu kuwa na rekodi ya kucheza na kubeba ubingwa hapo awali, safari hii ina ladha ya kipekee kutokana na mwenendo wa vikosi, mbinu za makocha na ubora wa wachezaji waliopo.

Fuatilia Hapa Matokeo ya Azam VS Yanga Leo 13/01/2026

Azam Fv 1-2 Yanga Sc
 

🏆 #Muungano Cup Nusu Fainali
🆚 Azam FC vs Yanga SC
🗓️ 13 January 2026
🏟️ New Amaan Complex
⏱️ Saa 02:15 Usiku

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!