Mechi ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026 Saa Ngapi?

Mechi ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026 Saa Ngapi
Leo taraehe 03 May, 2026 ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaenela kwa kuzikutanisha timu mbili za watani wa jadi kati ya mwenyeji wa Mchezo Simba Sc dhidi ya Bingwa mtetezi Yanga Sc mechi inayo julikana kama Kariakoo Derby.
Mchezo huu unakuja mara baada ya mchezo wa kusisimua wa watani hawa wa Jadi uliofanyika tarehe 29/04/2026 kwenye fainali za michuano ya Muungano CUP.Mchezo ulioish kwa Simba kuibuka Bingwa wa fainali kwa kumwadhibu Yanga Sc goli moja kwa sifuli baada ya adhabu ya mkwaju wa penalti uliopigwa na Selemani Mwalimu kunako dk ya 119.
Mechi hii ni mechi ya kisasi kwa Yanga, hivyo mashabiki wa mpira wa miguu watarajie mchezo bora na wa kusisimua.
Taarifa za Mechi ya Kariakoo Derby

Timu: Simba Sc vs Yanga Sc
Mchezo: Kariakoo Derby
Ligi: NBC Tanzania Bara
Muda: 18:00
Uwanja: Mej. Jenerali Isamuyo – DSM
Tags: Mechi ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026 Saa Ngapi
