Orodha ya Waamuzi Simba Sc vs Yanga Sc leo 03/05/2026 Ligi Kuu ya NBC

Orodha ya Waamuzi Simba Sc vs Yanga Sc leo 03/05/2026
Hii hapa Orodha ya maafisa uamuzi kwenye mchezo wa Derby ya Kariakooo mchezo wa Simba Sc vs Yanga Sc leo 03/05/2026.
Mchezo huu utafanyika Mej. Gen. Isamuhyo Dar Es Salaam kuanzia majira ya saa 18:00
Maafisa wa mchezo Kariakoo Derby(Simba Sc vs Yanga Sc)

