MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma (Utumishi) 02/05/2026

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma (Utumishi) 02/05/2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-04-2025 na tarehe 17-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana
MAJINA ya Walioitwa Kazizi Taasisi Mbali Mbali (Utumishi) 02/05/2026
DONLOAD HAPA PDF
Tags: MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma (Utumishi) 02/05/2026
