Simba Sc vs Yanga Sc Fainali Muungano Cup 29 April 2026

Simba Sc vs Yanga Sc Fainali Muungano Cup
Baada ya Nusu Fainali ya tarehe 26/04/2026 kati ya Simba na Mlandege kumalizika na Simba Kuibuka na ushindi wa goli 3 imepeleakea Simba kuungana na Yanga kwenye Fainali za michuano ya Muungano Cup
Yanga Sc ilifuzu kuingia fainali baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa moja dhidi ya Azam Fc kwenye mchezo wa nusu fainali uliofanyika tarehe 25/04/2026.
Taarifa za Mech ya Fainal ya Muungano Cup
Mechi: Simba Sc vs Yanga Sc
Muda: 02:15 Usiku
Uwanja: New Amaan Complex
