Zetuforum

rss feed Author's Website

Zetuforum's Latest Posts

Simba Sc vs Yanga Sc Fainali Muungano Cup 29 April 2026

Filed in Michezo by on April 26, 2026 0 Comments
Simba Sc vs Yanga Sc Fainali Muungano Cup 29 April 2026

Baada ya Nusu Fainali ya tarehe 26/04/2026 kati ya Simba na Mlandege kumalizika na Simba Kuibuka na ushindi wa goli 3 imepeleakea Simba kuungana na Yanga kwenye Fainali za michuano ya Muungano Cup Yanga Sc ilifuzu kuingia fainali baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa moja dhidi ya Azam Fc kwenye mchezo wa […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 23/04/2026

Filed in Kuitwa Kazini Utumishi by on April 26, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 23/04/2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 15-05-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24/04/2026

Filed in Kuitwa Kazini Utumishi by on April 26, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24/04/2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-05-2025 na tarehe 17-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenyekanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao […]

Continue Reading »

MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili UTUMISHI April 2026

Filed in Usaili by on April 26, 2026 0 Comments
MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili UTUMISHI April 2026

Wasailiwa wa kada zote zilizotajwa kwenye tangazo hili wanapaswa kuzingatia mabadiliko haya. MABADILIKO USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO APRIL 2026

Continue Reading »

Mabadiliko Ya Ratiba Ya Usaili Wa Vitendo Na Mahojiano

Filed in Usaili by on April 26, 2026 0 Comments
Mabadiliko Ya Ratiba Ya Usaili Wa Vitendo Na Mahojiano

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, anawajulisha waombaji kazi wa kada zilizoainishwa kwenye tangazo hili kuwa, kuna mabadiliko ya tarehe za usaili wa vitendo na usaili wa mahojiano. Kwa kuwa, usaili wa vitendo umepangwa kufanyika kwa siku zaidi ya moja, kila msailiwa anapaswa kuingia kwenye akaunti yake ya Ajira Portal ili kuona […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kilombero Sugar LTD

Filed in Ajira by on April 26, 2026 1 Comment
NAFASI Za Kazi Kilombero Sugar LTD

Kampuni ya Kilombero Sugar LTD ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa sukari nchini Tanzania, ikiwa na makao yake makuu mkoani Morogoro, katika eneo la Kilombero. Kampuni hii inamilikiwa na Baraa’ Sugar Group, na ina jukumu kubwa katika uchumi wa nchi kwa kuzalisha sukari ya kiwango cha juu inayotumiwa ndani na nje ya Tanzania. Kwa kutumia […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Shanta Gold Mining Ltd

Filed in Ajira by on April 26, 2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Shanta Gold Mining Ltd

Shanta Gold Mining Ltd ilikuwa kampuni ya kuchimba dhahabu yenye makao yake makuu Uingereza, iliyojishughulisha na uchimbaji wa dhahabu nchini Tanzania hasa katika mikoa ya Singida na Mbeya (eneo la Lupa). Kampuni hii ilikuwa inamiliki na kuendesha migodi miwili mikuu: Mgodi wa New Luika ulioanza uzalishaji mwaka 2012, na Mgodi wa Singida uliozinduliwa baadaye. Shanta […]

Continue Reading »

Vituo Vya Usaili Wa Mahojiano Wa Tarehe 28 Aprili 2026

Filed in Usaili by on April 26, 2026 0 Comments
Vituo Vya Usaili Wa Mahojiano Wa Tarehe 28 Aprili 2026

Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wa mahojiano wanapaswa kuzingatia vituo walivyopangiwa kufanya usaili huo. VITUO VYA USAILI WA MAHOJIANO APRIL 2026 – NEW-1

Continue Reading »

Matokeo Azam VS Yanga Leo 25/04/2026 Nusu Fainali Muungano Cup

Filed in Michezo by on April 25, 2026 0 Comments
Matokeo Azam VS Yanga Leo 25/04/2026 Nusu Fainali Muungano Cup

Visiwa vya Zanzibar,  vinashuhudia mvuto mkubwa wa soka la Tanzania leo Jumamosi, April 25, 2026, ambapo macho na masikio ya mashabiki yanaelekezwa moja kwa moja katika Uwanja wa New Amaan Complex, Nusu fainali ya Kombe la Muungano 2026 ikiwakutanisha mahasimu wakubwa wa soka la Tanzania Bara, Azam FC na Young Africans SC (Yanga). Ni mechi […]

Continue Reading »

Azam vs Yanga Leo 25/04/2026 Saa Ngapi

Filed in Michezo by on April 25, 2026 0 Comments
Azam vs Yanga Leo 25/04/2026 Saa Ngapi

Leo, tarehe 25/04/2026, mashabiki wa soka wanatarajia kushuhudia mechi ya kihistoria katika nusu fainali ya kombe la Muungano CUP. Yanga Sc klabu ambaye ndio bingwa mtete wa kombe la Muungano atakua kibaruani dhidi ya Azam Fc kwenye uwanja wa New Amaan Complex huko Zanzibar. Mchezo huu wa dabi ya Dar es Salaam umekuwa ukisubiriwa kwa […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!