Mabadiliko Ya Ratiba Ya Usaili Wa Vitendo Na Mahojiano

Mabadiliko Ya Ratiba Ya Usaili Wa Vitendo Na Mahojiano
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, anawajulisha waombaji kazi wa kada zilizoainishwa kwenye tangazo hili kuwa, kuna mabadiliko ya tarehe za usaili wa vitendo na usaili wa mahojiano.
Kwa kuwa, usaili wa vitendo umepangwa kufanyika kwa siku zaidi ya moja, kila msailiwa anapaswa kuingia kwenye akaunti yake ya Ajira Portal ili kuona tarehe aliyopangiwa kufanya usaili huo kati ya tarehe zilizotajwa.
Aidha,maelekezo mengine muhimu yatabaki kama yalivyotolewa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.
Mabadiliko Ya Ratiba Ya Usaili Wa Vitendo Na Mahojiano
DOWNLOAD PDF HAPA
Tags: Mabadiliko Ya Ratiba Ya Usaili Wa Vitendo Na Mahojiano
