MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili UTUMISHI April 2026

MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili UTUMISHI
Wasailiwa wa kada zote zilizotajwa kwenye tangazo hili wanapaswa kuzingatia mabadiliko haya.
MABADILIKO USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO APRIL 2026

MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili UTUMISHI
Wasailiwa wa kada zote zilizotajwa kwenye tangazo hili wanapaswa kuzingatia mabadiliko haya.
MABADILIKO USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO APRIL 2026
Benki ya CRDB Bank PLC ni moja ya benki kubwa na inayoongoza Tanzania, iliyoanzishwa mwaka 1996. Benki hii inajulikana kwa kutoa huduma mbalimbali za kibenki kwa wateja wake, ikiwemo mikopo, akiba, huduma za fedha za kimataifa, na benki ya mtandao. Kwa miaka mingi, CRDB imekuwa ikichukua hatua muhimu katika kukuza uchumi wa nchi kwa kuwezesha […]
TotalEnergies ni kampuni kubwa ya kimataifa inayojishughulisha na nishati, iliyopo Ufaransa. Kampuni hii inafanya kazi katika sekta mbalimbali za nishati ikiwemo mafuta ya petroli, gesi asilia, nishati ya jua, upepo, na hidrojeni. Kwa kuwa inaona mabadiliko ya tabianchi ni changamoto kubwa, TotalEnergies imejipanga kuhamia kwenye nishati safi na endelevu zaidi. Lengo lake kuu ni kufikia […]
NAFASI Za Kazi NBC Bank Tanzania
Benki ya NBC (National Bank of Commerce) ni moja ya benki kongwe na kubwa nchini Tanzania, iliyoanzishwa mwaka 1967. Benki hii inatoa huduma mbalimbali za kibenki kwa watu binafsi, biashara ndogo na makubwa, pamoja na mashirika ya serikali. Kwa miongo kadhaa, NBC imekuwa ikijenga uaminifu kwa wateja wake kwa kutoa huduma rahisi, salama, na za […]
NAFSI za kazi Geita Gold Mine (GGM)
Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) ni moja ya migodi mikubwa zaidi ya dhahabu barani Afrika na unapatikana Mkoani Geita, Tanzania Kaskazini-Magharibi. Unamilikiwa na Anglogold Ashanti kwa asilimia 84, na serikali ya Tanzania kwa asilimia 16, na umeanza uzalishaji wa kibiashara mwaka 2000. Eneo la mgodi huo lina ukubwa wa zaidi ya kilomita za mraba […]
NAFASI Za Kazi NMB Bank PLC Tanzania
Nchini Tanzania, NMB Bank PLC inasimama kama benki kubwa na yenye ushawishi mkubwa zaidi katika sekta ya fedha. Ilianzishwa mwaka 1997 kutokana na muunganiko wa benki tatu za kitaifa, NMB imejiweka kama kiungo muhimu katika uchumi wa nchi, ikihudumia zaidi ya wateja milioni sita kupitia mtandao wake mpana wa matawi zaidi ya 220 na mashine […]
Nafasi za kazi Barrick Gold Corporation
Shirika la Barrick Gold Corporation ni moja ya makampuni makubwa zaidi duniani yanayochimba madini ya dhahabu, na lina shughuli kubwa katika nchi kadhaa za Afrika, ikiwemo Tanzania. Barrick inamiliki na kuendesha migodi mitatu mikuu nchini Tanzania – Bulyanhulu, Buzwagi, na North Mara – kwa ushirikiano na serikali ya Tanzania kupitia kampuni ya Twiga Minerals. Kampuni […]
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI June 2026
Utumishi inapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada. 2. Kila msailiwa anatakiwa kufika […]
Matokeo ya Usaili Ajira Portal PSRS Results June 2026
Ikiwa umeomba ajira kupitia mfumo wa Ajira Portal, basi bila shaka unasubiri kwa hamu kubwa kuona Matokeo ya Usaili Ajira Portal PSRS Results. Makala hii imeandaliwa kitaalamu ili kukusaidia kuelewa kila kitu kuhusu matokeo haya, jinsi ya kuyaangalia, na hatua za kuchukua baada ya majibu kutoka kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS). […]
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika 11/06/2026
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II IFM
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 09/06/2026
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. PLANT OPERATOR GRADE II TECHNICIAN II (MECHANICAL) (1) TECHNICIAN II (PLUMBER) OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI June 2026
Utumishi inapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada. 2. Kila msailiwa anatakiwa kufika […]
MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 07-08/06/2026
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II (NETWORK ADMINISTRATOR) CONSERVATION RANGER III – ICT OFFICER (NETWORKING ADMINISTRATION) OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II (2) (1) INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II (NETWORKING) ICT OFFICER II (NETWORK […]
TANGAZO LA Kuahirishwa Kwa Usaili Uliopangwa Kufanyika 10/06/2026
Wasailiwa mlioitwa kwenye usaili kwa kada ya TUTOR II – INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY ya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) mnaarifiwa kuwa usaili uliopangwa kufanyika tarehe 10 Juni,2026 umeahirishwa mpaka hapo itakapotangazwa tena KUAHIRISHWA KWA USAILI-FETA
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika 07/06/2026
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. ICT OFFICER II (DATA BASE ADMINISTRATION) ICT OFFICER II (PROGRAMMER – BACKEND) ICT OFFICER GRADE II (APPLICATION PROGRAMMING) ICT OFFICER GRADE II (DATABASE ADMINISTRATION)
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika 3-4/06/2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. EDITOR GRADE II JOURNALIST GRADE II TECHNICIAN II (TELECOMMUNICATION) ASSISTANT PRODUCER II ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II PRODUCER II PHOTOJOURNALIST GRADE II
MAJINA ya Wailioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali 07/06/2026
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 20/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA 06-06-2026 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMERO 06-06-2026 […]
