__________________________

Msimamo Ligi Kuu NBC 2025/2026

__________________________

Matokeo Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026

__________________________

Magroup ya WhatsApp (Jiunge)

__________________________

WhatsApp Group Join Now

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24/04/2026

Filed in Kuitwa Kazini Utumishi by on April 26, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24/04/2026

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24/04/2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-05-2025 na tarehe 17-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenyekanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24/04/2026

DONWLOAD PDF HAPA

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!