Zetuforum

rss feed Author's Website

Zetuforum's Latest Posts

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06/05/2026

Filed in Kuitwa Kazini Utumishi by on May 6, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06/05/2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-05-2025 na tarehe 23-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali […]

Continue Reading »

Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Uliofanyika Tarehe 04/05/2026

Filed in Usaili by on May 5, 2026 0 Comments
Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Uliofanyika Tarehe 04/05/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na mahali pa usaili. ASSISTANT LIBRARIAN TRAINEE (1) RESEARCH FELLOW TRAINEE – CIVIL ENGINEERING RESEARCH FELLOW TRAINEE – CLIMATE CHANGE DISASTER RISK MANAGEMENT ENVIRONMENTAL ENGINEERING TA – BUSINESS AND IT TA – CIVIL ENGINEERING TA – COMMUNITY DEVELOPMENT TA – DEVELOPMENT STUDIES TA – ECONOMICS AND ECONOMETRICS TA – […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini Halimasuri ya Wilaya ya Namtumbo 04/05/2026

Filed in Kuitwa Kazini Utumishi by on May 5, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini Halimasuri ya Wilaya ya Namtumbo 04/05/2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 15-12-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma (Utumishi) 04/05/2026

Filed in Kuitwa Kazini Utumishi by on May 5, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma (Utumishi) 04/05/2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-04-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali […]

Continue Reading »

Kozi Zitolewazo na chuo cha DUCE (DUCE Courses Offered) 2026/2027

Filed in Elimu by on May 3, 2026 0 Comments
Kozi Zitolewazo na chuo cha DUCE (DUCE Courses Offered) 2026/2027

Ikiwa unatafuta chuo bora cha elimu ya juu nchini Tanzania, basi Chuo cha DUCE (Dar es Salaam University College of Education) ni mojawapo ya chaguo muhimu sana. Katika makala hii, tutachambua kwa kina kozi zitolewazo na chuo cha DUCE, vigezo vya kujiunga, pamoja na fursa zinazopatikana kwa wahitimu. Kwa Nini Uchague DUCE? Chuo cha DUCE […]

Continue Reading »

Kozi Zitolewazo na chuo cha Dar es Salaam Maritime Institute (DMI Courses Offered) 2026/2027

Filed in Elimu by on May 3, 2026 0 Comments
Kozi Zitolewazo na chuo cha Dar es Salaam Maritime Institute (DMI Courses Offered) 2026/2027

Ikiwa unatafuta chuo bora cha masuala ya bahari nchini Tanzania, basi Dar es Salaam Maritime Institute (DMI) ni chaguo linaloongoza. Katika makala hii, tutachambua kwa kina kozi zinazotolewa na DMI, sifa za kujiunga, pamoja na fursa za ajira baada ya kuhitimu. Kwa Nini Uchague DMI? DMI ni taasisi ya serikali inayotoa mafunzo ya kitaalamu katika […]

Continue Reading »

Kozi Zinazotolewa Na chuo cha DIT (DIT Courses Offered) 2026/2027

Filed in Elimu by on May 3, 2026 0 Comments
Kozi Zinazotolewa Na chuo cha DIT (DIT Courses Offered) 2026/2027

Ikiwa unatafuta chuo bora cha teknolojia nchini Tanzania, basi Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) ni moja ya taasisi zinazoongoza kwa ubora wa elimu ya ufundi na uhandisi. Katika makala hii, tutachambua kwa kina kozi zinazotolewa na DIT, pamoja na fursa zake, ili kukusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu mustakabali wako wa elimu. […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026

Filed in Michezo by on May 3, 2026 2 Comments
MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026

Leo 03/05/2026 mashabiki wa soka nchini Tanzania wanaenda kushuhudia mchuano mkali wa Derby ya Kariakoo kwenye mwendelezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Mchezo amabao unapigwa majira ya saa 18:00 jioni kwenye uwanja wa Mej. Jenerali Isamuyo – DSM. Kinachosubiliwa zaidi na mashabiki ni Matokeo ya Simba vs Yanga mara baada ya mchezo kukamirika, […]

Continue Reading »

Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026

Filed in Michezo by on May 3, 2026 0 Comments
Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026

Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Zetuforum, hapa utapata orodha ya watoa pasi bora ya mwisho kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/2026 Hawa apa ndio Vinara wa pasi saidizi (assists) kwenye Ligi kuu ya NBC Tanzania bara mpaka leo 03/05/2026 sasa msimu huu. Rank Player Club Assists 1 Feisal Salum […]

Continue Reading »

KIKOSI cha Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026 NBC Tanzania Bara

Filed in Michezo by on May 3, 2026 0 Comments
KIKOSI cha Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026 NBC Tanzania Bara

Leo klabu ya Simba Sc inaenda kuivaa Yanga Sc kwenye mwendelezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara majira ya saa 18:00 jioni kwenye uwanja wa Mej. Jenerali Isamuyo – DSM. Mchezo huu unasubiliwa kwa hamu na mashabikiwa Soka la Tanzania kwani mehi hii ni mechi ya watani wa jadi (Derby ya Kariakoo) pia ni […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!