MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026

MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026
Leo 03/05/2026 mashabiki wa soka nchini Tanzania wanaenda kushuhudia mchuano mkali wa Derby ya Kariakoo kwenye mwendelezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara.
Mchezo amabao unapigwa majira ya saa 18:00 jioni kwenye uwanja wa Mej. Jenerali Isamuyo – DSM.
Kinachosubiliwa zaidi na mashabiki ni Matokeo ya Simba vs Yanga mara baada ya mchezo kukamirika, hii ni kutokana na mtokeo ya mechi iliyopita ya michuani ya kombe la Muungano CUP baada ya Simba kuibuka na ushindi wa goli 1 kwa 0, goli lililopatikana kwa adhabu ya pernalti iliyopigwa na Selemani Mwalimu.
Bila hiyana Zetuforum blog yako pendwa ya kimichezo inakuletea hapa matokeo ya mchezo huu wa Derby ya Kariakoo kati ya Yanga Sc vs Simba Sc

Full Time
Simba Sc 2 – 1 Yanga Sc
D’ 2 – GUEYE
D’ 11 – CHAMA
D’ 17 – DUBE
