WhatsApp Group Join Now

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma (Utumishi) 04/05/2026

Filed in Kuitwa Kazini Utumishi by on May 5, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma (Utumishi) 04

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma (Utumishi) 04

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji
kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-04-2025 na tarehe 14-02-2026
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbali Mbali (Utumishi) 04/05/2026

DONLOAD HAPA PDF

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!