WhatsApp Group Join Now

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 08/05/2026

Filed in Usaili by on May 8, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 08/05/2026

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 08/05/2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC), Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Baraza la Taifa la Ujenzi, Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI), Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Shirika la Posta Tanzania (TPC), Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), MDAs & LGAs, Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/05/2026 hadi 25/07/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 08/05/2026

DOWNLOAD PDF HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!