TANGAZO la Mabadiliko ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo na Mahojiano Mei 2026

TANGAZO la Mabadiliko ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo na Mahojiano Mei 2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha wasailiwa wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,Wizara ya Elimu na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania(TLSB) ambao usaili wao wa mahojiano ulipangwa kufanyika tarehe 27 Mei,2026 kuwa usaili huo utafanyika tarehe 28 Mei,2026.
Vilevile,wasailiwa wa kada ya TECHNICIAN II (CIVIL) na TECHNICIAN II (MECHANICAL) kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wanajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe ya usaili wa vitendo na mahojiano.
Tags: MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili, TANGAZO la Mabadiliko ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo na Mahojiano Mei 2026
