Tag: MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili

MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI KADA YA ARTISAN II (WELDING),OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II,EDITOR GRADE II, JOURNALIST GRADE II NA ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II

Filed in Usaili by on May 29, 2026 0 Comments
MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI KADA YA ARTISAN II (WELDING),OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II,EDITOR GRADE II, JOURNALIST GRADE II NA ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II

Wasailiwa mlioitwa kwenye usaili kwa kada za ARTISAN II (WELDING) NA OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II za Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) pamoja na EDITOR GRADE II, JOURNALIST GRADE II, na ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mnaarifiwa kuzingatia mabadiliko ya usaili kama yalivyoainishwa hapo chini. Aidha, mabadiliko haya yametumwa kwenye […]

Continue Reading »

TANGAZO la Mabadiliko ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo na Mahojiano Mei 2026

Filed in Usaili by on May 20, 2026 0 Comments
TANGAZO la Mabadiliko ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo na Mahojiano Mei 2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha wasailiwa wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,Wizara ya Elimu na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania(TLSB) ambao usaili wao wa mahojiano ulipangwa kufanyika tarehe 27 Mei,2026 kuwa usaili huo utafanyika tarehe 28 Mei,2026. Vilevile,wasailiwa wa kada ya TECHNICIAN II (CIVIL) na TECHNICIAN II (MECHANICAL) kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili […]

Continue Reading »

MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili wa TAA, GST, MOI, CBE na IAE

Filed in Usaili by on April 30, 2026 0 Comments
MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili wa TAA, GST, MOI, CBE na IAE

Wasailiwa wa kada zote zilizotajwa kwenye tangazo hili wanapaswa kuzingatia mabadiliko haya. MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI WA TAA, GST, MOI, CBE NA IAE

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!