WhatsApp Group Join Now

MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili Kada ya Kitchen Attendant III-Benki Kuu Ya Tanzania

Filed in Usaili by on May 23, 2026 0 Comments
MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili Kada ya Kitchen Attendant III-Benki Kuu Ya Tanzania

MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili Kada ya Kitchen Attendant III-Benki Kuu Ya Tanzania

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wa Kada ya Kitchen Attendant III ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwamba, kutakuwa na usaili wa kuandika (Mchujo) kabla ya usaili wa vitendo.

Usaili huo (Mchujo) utafanyika kwa njia ya Mtandao tarehe 31 Mei, 2026, tembelea akaunti yako ya Ajira Portal na tovuti ya www.ajira.go.tz  kwa taarifa zaidi.

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!