MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 15/05/2026

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 15/05/2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Shirika la Mzinga, Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17/05/2026 hadi 11/07/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 15/05/2026
DOWNLOAD HAPA PDF