KIKOSI cha Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026 NBC Tanzania Bara

KIKOSI cha Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026
Leo klabu ya Simba Sc inaenda kuivaa Yanga Sc kwenye mwendelezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara majira ya saa 18:00 jioni kwenye uwanja wa Mej. Jenerali Isamuyo – DSM.
Mchezo huu unasubiliwa kwa hamu na mashabikiwa Soka la Tanzania kwani mehi hii ni mechi ya watani wa jadi (Derby ya Kariakoo) pia ni mechi ya kisasi baada ya mechi ile ya fainali ya kombe la Muungano iliyofanyika 29/04/2026 ambayo iliisha kwa Simba kuibuka na ushindi wa bo 1 kwa 0.
Zetuforum tunakuwekea hapa kikosi chote cha Simba Sc kitakachoenda kukikabili kikosi cha Yanga Sc leo 03/05/2026 kwenye fainali ya Muungano Cup.
KIKOSI cha Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026
Kikosi harisi tutakiweka lisaa limoja kabla ya kuanza kwa mchezo kikisha tangazwa
Wachezaji wanaotarajia kuunda kikosi cha Simba Sc dhidi ya Yanga Sc Leo
| No. | Player |
| 39 | KASSALI |
| 12 | KAPOMBE |
| 32 | KIBABAGE |
| 25 | TOURE |
| 23 | DE REUCK |
| 21 | KAGOMA |
| 7 | GUEYE |
| 8 | KANTE |
| 34 | MPANZU |
| 17 | CHAMA |
| 20 | OURA |
