KIKOSI cha Yanga Sc vs Simba Sc Leo 03/05/2026 NBC Tanzania Bara

KIKOSI cha Yanga Sc vs Simba Sc Leo 03/05/2026
Leo klabu ya Yanga inaenda kuivaa Simba Sc kwenye mwendelezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kuanzia majira ya saa 18:00 jioni kwenye uwanja wa Mej. Jenerali Isamuyo – DSM.
Mchezo huu unasubiliwa kwa hamu na mashabikiwa Soka la Tanzania kwani mehi hii ni mechi ya watani wa jadi (Derby ya Kariakoo) mechi inayochezwa ndani na nje ya uwanja. Pia mchezo huu umekua wa kusisimua kutokana na mchezo wa fainali ya kombe la Muungano mchezo ulioisha kwa Simba Sc kuwaadhibu Yanga Sc kwa bao 1 kwa 0.
Zetuforum tunakuwekea hapa kikosi chote cha yanga sc kitakachoenda kukikabili kikosi cha Simba Sc leo 03/05/2026 kwenye fainali ya Muungano Cup.
KIKOSI cha Yanga Sc vs Simba Sc Leo 03/05/2026
Kikosi harisi tutakiweka lisaa limoja kabla ya kuanza kwa mchezo kikisha tangazwa
Wachezaji wanaotarajia kuunda kikosi cha Yanga Sc dhidi ya Simba Sc Leo
| No. | Player |
| 39. | DIARRA |
| 33. | MWENDA |
| 23. | BOKA |
| 3. | MWAMNYETO (C) |
| 4. | BACCA |
| 25. | DAMARO |
| 7. | MAXI |
| 38. | ABUYA |
| 29. | DUBE |
| 20. | OKELLO |
| 10. | PACOME |
