WhatsApp Group Join Now

VIINGILIO Mechi Ya Yanga SC vs Azam FC 24/06/2026 Ligi Kuu ya NBC

Filed in Michezo by on June 23, 2026 0 Comments
VIINGILIO Mechi Ya Yanga SC vs Azam FC 24/06/2026

VIINGILIO Mechi Ya Yanga SC vs Azam FC 24/06/2026

Tarehe 24 June 2026 Tanzania inaenda kushuhudia Derby Dar es Salaam kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kuelekea kumalizika kwa Ligi kuu hii bora zaidi Afrika Mashariki.

Yanga SC kama mwenyeji wa mchezo huu leo anaenda kukipiga na Azam FC akiwa na jeraha alilolopata kutoka kwa Azam Fc klabu siku ya 21 June 2026 pale CCM Kirumba baada ya kupokea kipgo cha goli 2 kwa 1 kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la CRDB.

Yanga inawavaa Azam FC ikiwa kwenye ungozi wa ligi kuu ya NBC kwa pointi 66 pointi 2 mbele ya Simba SC na Pointi 8 mbele ya Azam Fc iliyoko kwenye nafasi ya 3 ya msimamo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara.

VIINGILIO Yanga SC vs Azam FC 26/06/2026 Ligi Kuu ya NBC

Soma Pia:

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!