Kikosi cha Yanga Sc vs Azam FC leo 24/06/2026 Ligi Kuu ya NBC

Kikosi cha Yanga Sc vs Azam FC leo 24/06/2026
Tarehe 24 June 2026 Tanzania inaenda kushuhudia Derby Dar es Salaam kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kuelekea kumalizika kwa Ligi kuu hii bora zaidi Afrika Mashariki.
Yanga SC kama mwenyeji wa mchezo huu leo anaenda kukipiga na Azam FC akiwa na jeraha alilolopata kutoka kwa Azam Fc klabu siku ya 21 June 2026 pale CCM Kirumba baada ya kupokea kipgo cha goli 2 kwa 1 kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la CRDB.
Yanga inawavaa Azam FC ikiwa kwenye ungozi wa ligi kuu ya NBC kwa pointi 66 pointi 2 mbele ya Simba SC na Pointi 8 mbele ya Azam Fc iliyoko kwenye nafasi ya 3 ya msimamo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara.
Kikosi cha Yanga Sc vs Azam FC leo 24/06/2026 Ligi Kuu ya NBC
Hapa tunakuletea vikosi vya Yanga Sc na Aazam FC vitakavyoenda kumenyana kwenye mchezo wa Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara
Kikosi cha Yanga
-Hapa chini ni kikosi kamili cha Yanga SC. Kikosi kitawekwa hapa mara baada ya kutangazwa lisaa limoja kabla ya kuanza kwa mchezo
Kikosi cha Azam Fc
-Hapa chini ni kikosi kamili cha Azam Fc. Kikosi kitawekwa hapa mara baada ya kutangazwa lisaa limoja kabla ya kuanza kwa mchezo
Soma Pia:
