MATOKEO ya Simba Sc vs Tanzania Prisons Leo 10/05/2026

MATOKEO ya Simba Sc vs Tanzania Prisons Leo 10/05/2026
Leo ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaenda kuikutanisha timu za klabu ya Simba Sc na Tanzania Prisons kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara.
Simba inaenda kukutana na Tanzania Prisons ikiwa kwenye nafasi ya pili ya ligi kuu ya NBC ikiwa na poiti 46 nyuma ya Yanga Sc inayoongoza ligi kwa pointi 51.
Hapa Zetuforum tutakuletea Matokeo ya Simba Sc dhidi ya Tanzania Prison leo tarehe 10/05/2026
MATOKEO ya Simba Sc vs Tanzania Prisons Leo 10/05/2026
Full Time
Simba Sc 2 – 0 Tanzania Prisons
D’ 27 – Morrice Abraham
D’ 41 – Chama
D’ 43 – Seleman Mwalimu
D’ 62 – Toure
Soma Pia
Tags: MATOKEO ya Simba Sc vs Tanzania Prisons Leo 10/05/2026