Usaili

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Ulioyofanyika 02/06/2026

Filed in Usaili by on June 2, 2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Ulioyofanyika 02/06/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. SECURITY OFFICER III TECHNICIAN II – MECHANICAL TECHNICIAN GRADE II (INDUSTRIAL ELECTRICAL) ARTISAN II (PAINTER) OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II (2) ARTISAN GRADE II (FITTER MECHANICS) ARTISAN II (INDUSTRIAL LABORATORY)

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 02/06/2026

Filed in Usaili by on June 2, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 02/06/2026

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 22/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO 02-06-2026 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili Uliofanyika Tarehe 31/05/2026

Filed in Usaili by on June 1, 2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili Uliofanyika Tarehe 31/05/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 31/05/2026 SUPPLIES PROCUREMENT OFFICER III ACCOUNTANT III BANK EXAMINER III BANK OFFICER III BUSINESS ANALYST III ELECTRICAL ENGINEER III ELECTRICAL TECHNICIAN III ELECTRONICS TECHNICIAN […]

Continue Reading »

MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Vitendo Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

Filed in Usaili by on May 31, 2026 0 Comments
MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Vitendo Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

Wasailiwa mlioitwa kwenye usaili kwa kada za SECURITY GUARD na PORTER za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) mnaarifiwa kuwa usaili wa vitendo utafanyika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (Dar es salaam Police Academy) – Kurasini badala ya JKT Mgulani. MABADILIKO YA ENEO LA USAILI – MEI 2026

Continue Reading »

MATOKEO Ya Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 30/05/2026

Filed in Usaili by on May 31, 2026 0 Comments
MATOKEO Ya Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 30/05/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. ADMISSION OFFICER II ARTISAN II (MOTOR VEHICLE MECHANICS) ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II ASSISTANT PRODUCER II AUDIO VISUAL OFFICER GRADE II COMPUTER ANALYST – PROGRAMMER III COOPERATIVE OFFICER GRADE II (CO-OPERATIVE MANAGEMENT AND […]

Continue Reading »

MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 30/05/2026

Filed in Usaili by on May 31, 2026 0 Comments
MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 30/05/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. CT OFFICER II (PROGRAMMER) – MOI ICT OFFICER II (SERVER ADMINISTRATOR) – CBE ICT OFFICER II – SYSTEMS ADMINISTRATOR – NIDA

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 29/05/2026

Filed in Usaili by on May 29, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 29/05/2026

  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 26/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA KOROGWE 29-05-2026 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI […]

Continue Reading »

MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI KADA YA ARTISAN II (WELDING),OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II,EDITOR GRADE II, JOURNALIST GRADE II NA ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II

Filed in Usaili by on May 29, 2026 0 Comments
MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI KADA YA ARTISAN II (WELDING),OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II,EDITOR GRADE II, JOURNALIST GRADE II NA ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II

Wasailiwa mlioitwa kwenye usaili kwa kada za ARTISAN II (WELDING) NA OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II za Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) pamoja na EDITOR GRADE II, JOURNALIST GRADE II, na ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mnaarifiwa kuzingatia mabadiliko ya usaili kama yalivyoainishwa hapo chini. Aidha, mabadiliko haya yametumwa kwenye […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 28/05/2026

Filed in Usaili by on May 29, 2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 28/05/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. TECHNICIAN II (MECHANICAL) TECHNICIAN II (CIVIL)

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha 28/05/2026

Filed in Usaili by on May 28, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha 28/05/2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Halmashauri ya Mji kibaha anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 20/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha 28/05/2026 DOWNLOAD PDF […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!