MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 29/05/2026

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 29/05/2026
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa
usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 26/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi
waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
