Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU (PCCB) 2026 PDF

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU (PCCB) 2026
TAKUKURU (PCCB) imetangaza rasmi majina ya walioitwa kwenye usaili wa ajira kwa mwaka 2026, ambapo waombaji waliochaguliwa wanatakiwa kufika kwenye vituo vya usaili wakiwa na nyaraka muhimu kwa ajili ya uhakiki na utambuzi. Wasailiwa wote wanashauriwa kufika kwa wakati kulingana na tarehe, muda na kituo walichopangiwa ili kushiriki hatua hiyo muhimu ya mchakato wa ajira.
ILI KUWEZA KUPATA MAJINA YA USAILI TAKUKURU (PCCB) TAFADHARI LOGIN KWENYE ACCOUNT YAKO KUANGALIA MAJIBU
Mambo muhimu ya kwenda navyo kwenye usaili wa Takukuru PCCB 2026:
- Vyeti vya taaluma (Academic Certificates)
- Cheti cha kuzaliwa (Birth Certificate)
- Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au kitambulisho kingine kinachotambulika
- Nakala za vyeti (Photocopies)
- Wasifu binafsi (CV) ikiwa utahitajika
- Kalamu na vifaa muhimu vya usaili
Jinsi ya Kuangalia Majina ya Walioitwa Kwenye usaili (Interview) PCCB TAKUKURU
- Nenda kwenye account yako ya takukuru


Tags: Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU (PCCB) 2026
