WhatsApp Group Join Now

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 18/05/2026

Filed in Kuitwa Kazini Utumishi by on May 18, 2026 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 18/05/2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 18/05/2026

DOWNLOAD PDF HAPA

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!