KIKOSI cha Simba Sc vs Tanzania Prisons Leo 10/05/2026

KIKOSI cha Simba Sc vs Tanzania Prisons Leo 10/05/2026
Leo klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba inaenda kuvaana na klabu ya Tanzania Prisons kwenye Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kuanzia majira ya saa o7:00 Usiku kunako Dimba la KMC Complex
Simba inaingia Dimbani ikiwa na lengo la kusaka pointi 3 amabzo ni muhimu kwa upande wao ili kuweza kupunguza gape lililopo kati yao na mahasimu wao Yanga Sc inayoongoza ligi
Simba Sc inaingia kwenye mchezo huu ikiwa kwenye nafasi ya 2 kwa pointi 46 nyuma ya Yanga Sc inayoongoza ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa pointi 51.
KIKOSI cha Simba vs Tanzania Prisons Leo 10/05/2026
Hapa chini ni kikosi cha Simba Sc dhidi ya Tanzania Prisons leo 10/05/2026 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara

Soma Pia
Tags: KIKOSI cha Simba Sc vs Tanzania Prisons Leo 10/05/2026