WhatsApp Group Join Now

MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026

Filed in Michezo by on May 3, 2026 2 Comments
MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026

MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026

Leo 03/05/2026 mashabiki wa soka nchini Tanzania wanaenda kushuhudia mchuano mkali wa Derby ya Kariakoo kwenye mwendelezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara.

Mchezo amabao unapigwa majira ya saa 18:00 jioni kwenye uwanja wa Mej. Jenerali Isamuyo – DSM.

Kinachosubiliwa zaidi na mashabiki ni Matokeo ya Simba vs Yanga mara baada ya mchezo kukamirika, hii ni kutokana na mtokeo ya mechi iliyopita ya michuani ya kombe la Muungano CUP baada ya Simba kuibuka na ushindi wa goli 1 kwa 0, goli lililopatikana kwa adhabu ya pernalti iliyopigwa na Selemani Mwalimu.

Bila hiyana Zetuforum blog yako pendwa ya kimichezo inakuletea hapa matokeo ya mchezo huu wa Derby ya Kariakoo kati ya Yanga Sc vs Simba Sc

MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 03/05/2026

 

Full Time

Simba Sc 2 – 2 Yanga Sc

D’ 2 – GUEYE

D’ 11 – CHAMA

D’ 17 – DUBE

D’ 51 – MWAMNYETO

Tags:

About the Author ()

Comments (2)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Frank says:

    Tuombe mungu

  2. demumu says:

    Ni kwamba matokeo ya 2-2 yalikuwa ya kuvutia sana kwa kuwasha upya shabiki wa Kariakoo kutoka kwenye ushindi wa Simba uliotangulia. Je, ni lazima kuchunguza jinsi Dube na Mwamnyeto walisaidia kuboresha ushindani huu katika mchezo huu wa Derby ya Kariakoo?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!