Tag: Tarehe ya Kuripoti Waliochaguliwa JKT

Tarehe ya Kuripoti Waliochaguliwa JKT 2026

Filed in Makala by on May 28, 2026 1 Comment
Tarehe ya Kuripoti Waliochaguliwa JKT 2026

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetoa rasmi taarifa kuhusu vijana waliohitimu kidato cha sita mwaka 2026 wanaotakiwa kuhudhuria Mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria. Kwa wanafunzi wengi pamoja na wazazi wao, swali kubwa limekuwa: “Ni vitu gani vinatakiwa kwenda navyo JKT 2026?” Wito wa JKT kwa Wahitimu wa Kidato cha Sita 2026 Mkuu wa Jeshi […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!