Tag: Simba VS Tanzania Prisons Leo 10/05/2026 Saa Ngapi?

Simba VS Tanzania Prisons Leo 10/05/2026 Saa Ngapi?

Filed in Michezo by on May 10, 2026 0 Comments
Simba VS Tanzania Prisons Leo 10/05/2026 Saa Ngapi?

Simba VS Tanzania Prisons Leo 10/05/2026 Saa Ngapi?

Leo Tarehe 10/05/2026 blabu ya Simba Sc inaenda kuivaa klabu ya Tanzania Prisons kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara msimu wa 2025/2026

Ikumbukwe ya kua hadi sasa Simba Sc iko kwenye nafasi ya pili ndani ya msimamo wa ligi kuu ya NBC ikiwa na poiti 46 huku mahasimu wao Yanga Sc akiongoza ligi kwa pointi 54, huku Tanzania Prisons wao wakiwa kwenye nafasi ya 25.

Maelezo ya Mchezo

Timu: Simba Sc vs Tanzania Prisons

Ligi: NBC Tanzania Bara

Muda: 19:00 Usiku

Uwanja: KMC Complex

WhatsApp Channel Join Now!