Tag: Ratiba za Treni ya SGR Tanzania

Nauli za Treni ya Mwendokasi SGR

Filed in Makala by on June 3, 2026 0 Comments
Nauli za Treni ya Mwendokasi SGR

Watanzania wanaendelea kusubiri kwa hamu kuanza rasmi kwa safari za Treni ya Mwendokasi ya Standard Gauge Railway (SGR), mradi mkubwa wa kisasa unaotarajiwa kubadilisha mfumo wa usafiri nchini. Hatimaye, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza rasmi nauli za SGR kwa mwaka 2026, hatua inayowapa wananchi mwanga kuhusu gharama za safari watakazozifanya kupitia reli hii […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!