Tag: NAFASI 400 za Kazi Walimu Mikoa Mbalimbali Juni 2026

NAFASI 400 za Kazi Walimu Mikoa Mbalimbali Juni 2026

Filed in Ajira by on June 3, 2026 0 Comments
NAFASI 400 za Kazi Walimu Mikoa Mbalimbali Juni 2026

Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kwa kushiriakiana na asasi ya Educate! Tanzania kupitia mradi wa kuboresha Ufundishaji na Ujifunzaji wa Somo la Elimu ya Biashara (Business Studies), inatekeleza afua ya kuboresha ufundishaji na ujifunzaji wa somo la Elimu ya Biashara (Business Studies). Ofisi inatangaza nafasi 400 za walimu wa kujitolea (mkataba) wa somo la […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!