NAFSI za kazi Geita Gold Mine (GGM)

NAFSI za kazi Geita Gold Mine (GGM)
Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) ni moja ya migodi mikubwa zaidi ya dhahabu barani Afrika na unapatikana Mkoani Geita, Tanzania Kaskazini-Magharibi. Unamilikiwa na Anglogold Ashanti kwa asilimia 84, na serikali ya Tanzania kwa asilimia 16, na umeanza uzalishaji wa kibiashara mwaka 2000. Eneo la mgodi huo lina ukubwa wa zaidi ya kilomita za mraba 1,800, na lina vyanzo vingi vya dhahabu ikiwemo ardhini na chini ya ardhi. Kwa mionaka, GGM imekuwa ikichangia pakubwa katika uchumi wa Taifa kupitia ushuru, ajira, na ununuzi wa bidhaa na huduma za ndani.
Zaidi ya kuleta mapato kwa serikali, Mgodi wa Geita umeunda ajira kwa maelfu ya watanzania, moja kwa moja na kwa njia zisizo za moja kwa moja, huku zaidi ya wafanyakazi 5,000 wakionekana rasmi. Mgodi pia umejenga miundombinu ya jamii kama vile shule, barabara, na vituo vya afya, na kuunga mkono wazalishaji wadogowadogo wa ndani. Hata hivyo, kuna changamoto za kimazingira, ikiwemo usimamizi wa taka za kemikali kama sianidi na uharibifu wa ardhi. Kwa ujumla, GGM inabaki kuwa nguzo muhimu ya uchumi wa kanda na Taifa, ikitafuta kusawazisha uzalishaji na uwajibikaji wa kijamii na mazingira.
NAFSI za kazi Geita Gold Mine (GGM)
TUMA MAOMBI HAPA

Ningependa kujua ni ya mkataba
YAH:OMBI LA KAZI
Kwa majina naitwa Angel nadasi kiduge naishi mkoa wa iringa mafinga dhumuni la kuandika ujumbe huu nikuomba kazi jatika kiwanda cha ggm kilichopo geita
Ntashukuru ombi langu litakapo jibiwa
A.N.KIDUGE
Naitajinafasi kwa sababu napenda maendeleo nanitajitoa kwa hali na mali kufanya kazi kwa bidii na kujitolea na kuwa makin na kazi yangu naomba naninauitaji bado nikijana mdogo na umri wangu una ruhusu Nina miaka 23 nimetimiza mwaka huu ni mzawa halali wa TANZANIA nani kijana ninayependa maendeleo na amini nikipata nafasi amtajuta kunipata mimi natumai nitajibiwa nauongizi na mtatenda haki