NAFASI Za Kazi Tarime Town Council

NAFASI Za Kazi Tarime Town Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime anakaribisha maombi ya kazi
kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 12 kama ilivyoainishwa
katika tangazo hili
NAFASI Za Kazi Tarime Town Council
TUMA MAOMBI HAPA
