Azam vs Yanga Leo 21/06/2026 Saa Ngapi? (Nusu Fainali CRDB)

Azam vs Yanga Leo 21/06/2026 Saa Ngapi
Leo, tarehe 21/06/2026, mashabiki wa soka Tanzania wanatarajia kushuhudia mechi ya kihistoria katika Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup 2026. Yanga Sc klabu ambaye ndio bingwa mtete wa kombe la CRDB Federation Cup atakua kibaruani dhidi ya Azam Fc kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Mchezo huu wa dabi ya Dar es Salaam umekuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa kutokana na historia ndefu ya ushindani kati ya timu hizi mbili, na bila shaka, mashabiki wa pande zote watajitokeza kwa wingi uwanjani.
Dabi ya Dar es Salaam kati ya Azam FC na Yanga SC ni miongoni mwa mechi zinazovutia wengi hapa nchini. Ni mchezo unaozungumziwa sana kutokana na ubora wa timu hizi mbili na ushindani wao mkubwa ndani na nje ya uwanja.
Azam FC vs Yanga SC Leo 21/06/2026 Saa Ngapi
- Mchezo: Azam Fc vs Yanga SC
- Mashindano: CRDB Federation Cup (Nusu Fainali)
- Tarehe: 21 June 2026
- Saa: 9:30 alasiri
- Uwanja: CCM Kirumba

Soma Pia:

Yanga 2-1 Azam