Zetuforum

rss feed Author's Website

Zetuforum's Latest Posts

TANGAZO LA Kuahirishwa Kwa Usaili Uliopangwa Kufanyika 10/06/2026

Filed in Usaili by on June 8, 2026 0 Comments
TANGAZO LA Kuahirishwa Kwa Usaili Uliopangwa Kufanyika 10/06/2026

Wasailiwa mlioitwa kwenye usaili kwa kada ya TUTOR II – INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY ya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) mnaarifiwa kuwa usaili uliopangwa kufanyika tarehe 10 Juni,2026 umeahirishwa mpaka hapo itakapotangazwa tena KUAHIRISHWA KWA USAILI-FETA

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika 07/06/2026

Filed in Usaili by on June 8, 2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika 07/06/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. ICT OFFICER II (DATA BASE ADMINISTRATION) ICT OFFICER II (PROGRAMMER – BACKEND) ICT OFFICER GRADE II (APPLICATION PROGRAMMING) ICT OFFICER GRADE II (DATABASE ADMINISTRATION)

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Wakala wa Vipimo(WMA)

Filed in Ajira by on June 6, 2026 0 Comments
NAFASI za Kazi Wakala wa Vipimo(WMA)

The Weights and Measures Agency (WMA) is an Executive Agency under the Ministry of Industry and Trade, established in 2002 under the Executive Agencies Act, Cap. 245. Its establishment was part of the Public Service Reform Programme (PSRP II), aimed a improving the efficiency and effectiveness of public service delivery. The Agency executes its mandates […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika 3-4/06/2025

Filed in Usaili by on June 5, 2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika 3-4/06/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. EDITOR GRADE II JOURNALIST GRADE II TECHNICIAN II (TELECOMMUNICATION) ASSISTANT PRODUCER II ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II PRODUCER II PHOTOJOURNALIST GRADE II

Continue Reading »

TAMISEMI: Form Five Joining Instruction 2025/2026 (Shule Zote)

Filed in Ajira by on June 5, 2026 0 Comments
TAMISEMI: Form Five Joining Instruction 2025/2026 (Shule Zote)

Wanafunzi wengi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano nchini Tanzania kwa mwaka wa masomo 2026/2027 wanahitaji kupata Form Five Joining Instructions ili kujua taratibu zote muhimu kabla ya kuripoti shuleni. Hati hii hutolewa kupitia TAMISEMI na shule husika ili kuwapa wanafunzi maelekezo muhimu kuhusu masomo yao mapya. Katika makala hii utajifunza maana ya Joining Instruction, […]

Continue Reading »

MAJINA ya Wailioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali 07/06/2026

Filed in Usaili by on June 4, 2026 0 Comments
MAJINA ya Wailioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali 07/06/2026

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 20/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA 06-06-2026 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMERO 06-06-2026 […]

Continue Reading »

Nauli za Treni ya Mwendokasi SGR

Filed in Makala by on June 3, 2026 0 Comments
Nauli za Treni ya Mwendokasi SGR

Watanzania wanaendelea kusubiri kwa hamu kuanza rasmi kwa safari za Treni ya Mwendokasi ya Standard Gauge Railway (SGR), mradi mkubwa wa kisasa unaotarajiwa kubadilisha mfumo wa usafiri nchini. Hatimaye, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza rasmi nauli za SGR kwa mwaka 2026, hatua inayowapa wananchi mwanga kuhusu gharama za safari watakazozifanya kupitia reli hii […]

Continue Reading »

Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira kwa Airtel Money

Filed in Makala by on June 3, 2026 0 Comments
Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira kwa Airtel Money

Soka ni mchezo unaounganisha mamilioni ya mashabiki nchini Tanzania. Iwe ni mechi ya Simba SC, Yanga SC, Azam FC au timu nyingine za Ligi Kuu Tanzania, kila shabiki hutamani kushuhudia mchezo huo akiwa uwanjani. Habari njema ni kwamba siku hizi unaweza kununua tiketi za mpira kwa Airtel Money kwa urahisi bila kutembelea maduka ya tiketi […]

Continue Reading »

Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira wa Miguu kwa M-Pesa (Vodacom)

Filed in Makala by on June 3, 2026 0 Comments
Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira wa Miguu kwa M-Pesa (Vodacom)

Kushuhudia mechi ya mpira wa miguu moja kwa moja uwanjani ni uzoefu wa kipekee kwa mashabiki wa soka. Ili kuhakikisha hupitwi na burudani hiyo, unahitaji kupata tiketi yako mapema. Kwa kutumia Vodacom M-Pesa, unaweza kununua tiketi kwa urahisi, haraka na salama kupitia simu yako ya mkononi bila kulazimika kwenda kwenye foleni ndefu. Kwa Nini Utumie […]

Continue Reading »

NAFASI 400 za Kazi Walimu Mikoa Mbalimbali Juni 2026

Filed in Ajira by on June 3, 2026 0 Comments
NAFASI 400 za Kazi Walimu Mikoa Mbalimbali Juni 2026

Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kwa kushiriakiana na asasi ya Educate! Tanzania kupitia mradi wa kuboresha Ufundishaji na Ujifunzaji wa Somo la Elimu ya Biashara (Business Studies), inatekeleza afua ya kuboresha ufundishaji na ujifunzaji wa somo la Elimu ya Biashara (Business Studies). Ofisi inatangaza nafasi 400 za walimu wa kujitolea (mkataba) wa somo la […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!