MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 26/05/2026

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 26/05/2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania(TAA), Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Wakala Ya
Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere (MNMA), Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Wakala wa Usalama
na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC), Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia
(COSTECH), Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Chuo cha Takwimu
Mashariki mwa Afrika (EASTC), Benki Kuu ya Tanzania(BOT), Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) anapenda
kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 28/05/2026 hadi
25/07/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 26/05/2026
Tags: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 26/05/2026, Matokeo ya Usaili Utumishi
