Barcelona Mabingwa wa Laliga 2025/2026

Barcelona Mabingwa wa Laliga 2025/2026
Hatimae klabu ya Fc Barcelona wajitangaza kua mabingwa wa ligi kuu ya Laliga mbele ya mahasimu wao Real Madrid kwenye mchezo wa El Classico baada ya ushindi wa goli 2 kwa 0.
Ushidi wa Barcelona dhidi ya Real Madrid unaifanya Bercelona kufikia pointi 91 dhidi ya Real Madrid ambao wapo kwenye nafasi ya pili mwa pointi 77
Hadi sasa Ligi ya Laliga inmebakisha mechi 3 ambayo hakuna tmu itakayoshinda mechi zote na kufikia point za Fc Barcelona.
