Kuahirishwa Kwa Usaili Wa Kada Ya Artisan Grade II (Motor Vehicle Mechanics) Shirika La Mzinga

Kuahirishwa Kwa Usaili Wa Kada Ya Artisan Grade II (Motor Vehicle Mechanics) Shirika La Mzinga
Katibu, Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wa kada ya ARTISAN GRADE II ( MOTOR VEHICLE MECHANICS) wa Shirika la Mzinga kuwa, usaili umeahirishwa.
Tags: Kuahirishwa Kwa Usaili Wa Kada Ya Artisan Grade II (Motor Vehicle Mechanics) Shirika La Mzinga