MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 30/04/2026

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 30/04/2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO), Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), Shirika la Mzinga, Hifadhi za Taifa
Tanzania (TANAPA), Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Chuo cha Maji (WI), Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa
Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere (MNMA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa
kuanzia tarehe 09/05/2026 hadi 22/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 30/04/2026
DOWNLOAD PDF HAPA
