MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI June 2026

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI
Utumishi inapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-
1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).
3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya
utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.
4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.
5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.
8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma nje ya Tanzania wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.
9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.
10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili. Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka barua pepe (email address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.
11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.
12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, na uwazi, kwa kuzingatia sifa stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara inayohusika.
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA 09-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA 09-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA 08-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA 08-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA SONGEA 08-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO 08-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI RUFIJI 08-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO 08-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI 08-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI MBINGA 08-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI MBULU 07-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA 07-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA 07-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA UYUI 06-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA 06-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI BABATI 06-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 06-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA 06-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMERO 06-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOSA 06-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO 06-06-202
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA 06-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE 06-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA 06-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM (DCC) 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MTWARA MIKINDANI 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG’HWALE 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME 05-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BARIADI 04-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 04-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU 04-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA 04-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE 04-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI 04-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA 04-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA SUMBAWANGA 04-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KYERWA 04-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA KIGOMA UJIJI 04-06-2026
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU 04-06-2026
