MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Vitendo Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Vitendo Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
Wasailiwa mlioitwa kwenye usaili kwa kada za SECURITY GUARD na PORTER za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) mnaarifiwa kuwa usaili wa vitendo utafanyika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (Dar es salaam Police Academy) – Kurasini badala ya JKT Mgulani.
Tags: MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Vitendo Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Matokeo ya Usaili Utumishi
